kwanza nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na fadhila kwa kunijahalia afya njema, baada ya hapo napenda kutoa salamu zangu za dhati naomba niwashukuruni ndugu, jamaa na marafiki kkuweza kuzungumza,kudadavu mada kuu iliyopo hapo juu.
Maadili ni kitu muhimu sana katika taifa letu la Tanzania na ulimwengu kwa ujumla wake,maana kama jamii inakumbwa na mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii inapelekea kuzalisha taifa la watu wenye utapi mlo wa mawazo haswa rushwa,ubinafsi,uloho na uzandiki ndani ya nchi.
jamii bora mara zote ujengwa kwa kuwepo na watu wenye maadili safi,endapo jamii inakosa maadili hivyo inapelekea kuzalisha nchi maskini kwani mwisho wa siku tunakujapata viongozi wenye utapiamlo wa mawazo finyu juu ya anasa ya maisha yao tu.
No comments:
Post a Comment